Bwana Nimerudi tena by PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA
Bwana, Nimerudi tena, Yesu nakushukuru, Wenginge sijui, ila mimi Bwana, Nimejua umenitendea Bwana, Nimerudi tena, Yesu nakushukuru, M enginge sijui, ila hili Bwana, Nimejua umenitendea, Nimeomba mengi, umenijibu moja, Umetutendea wengi, mimi nimerudi, Japo mengine bado, Ila natambua, Thamani ya hili moja, Wale wengine kenda, mimi sijui, Ila nachojua, kwangu umetenda, Mengine sijui, nimejua umenitendea, Mimi ni Msamaria tu, mtu wa makabila mengine, Wala sikustahili haya uliyonitendea Wengine sijui wanaona nini, Ila mimi bwana ninauona wema wa ajabu, Wenye ukoma tulikuwapo, na neno lako halikufanya makosa, Wengine sijui ila mimi bwana, Nimejua umenitendea Wenye dhambi, tulikuwa wengi Na damu yako ikanitakasa Wengine sijui ila mimi bwana Nimejua umenitendea Utukufu kwako tu, na heshima zote, kwako tu Umenitenda wema, Umenitenda vyema Umenitendea wema mkuu Umenitenda wema, Umenitenda vyema Umenitendea wema ...